Jumanne, 18 Februari 2014

INJILI YA KWELI


Injili ya kweli ni ile pekee yenye kutuwezesha kuwa huru kwa dhambi zetu kikamilifu, mara moja na kwa wakati wote pale tunapoamini nguvu ya injili ya Mungu.
Injili ya Mungu ni ile “Yesu Kristo alilipa deni la wadaiwa (wenye dhambi) wasio weza bila shaka kulilipa wenyewe “.
Alikuja hapa ulimwenguni na kubeba dhambi zote kwa ubatizo wake katika mto Yordani na kututakasa daima.
Amelipa mshahara wa dhambi kwa kuchukuwa dhambi zetu zote  kwa ubatizo wake Yordani na kwa kufa msalabani kalvari. Yesu alizifuta dhambi zote za ulimwengu kwa mithili ya nguvu kwa ubatizo na damu yake. Hii ndiyo habari njema (Injili) ya kweli.
Injili ya kweli ni ile Yesu kuja ulimwenguni na kwa ubatizo wake na damu yake msalabani umetuokoa sisi sote wenye kuamini.

Kama ilivyo andikwa katika 1yohana 5:4-6huyu ndiye aliye kuja katika maji na katika damu, yesu Kristo si kwa maji tu, bali katika maji na katika damu’.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni